Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Breaking News!!! WATU ZAIDI YA 20 WAPOTEZA MAISHA BAADA YA BASI KUGONGA NYUMBA NA KUPINDUKA HUKO SIMIYU


Habari zilizoufikia hivi punde kutoka mkoani Simiyu ni kwamba watu zaidi ya 20 wamepoteza wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa baada ya basi la Luhuye walilokuwa wanasafiria kutoka Musoma kwenda Mwanza kugonga nyumba na kupinduka wilayani Busega mkoani Simiyu.

Inaelezwa kuwa majeruhi hawana msaada kwani ajali hiyo imetokea eneo la kijijini.

Habari Kamili kuhusu tukio hili la kusikitisha zitakijia hivi punde kupitia mtandao uu ......
 
 Credit: malunde1 blog
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top