- Wananchi wengi wana imani kubwa na CCM
- Watambua ni Chama pekee chenye viongozi wasikivu na wenye ushirikiano
- Ziara za Katibu Mkuu wa CCM zazidi kukiimarisha chama na kuongeza idadi ya wanachama
- Ushirikiano kati ya watumishi na watendaji wa serikali na Chama Cha Mapinduzi wazidi kuimarika .
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma ujumbe ulioandikwa na
wanakijiji cha Mnyagala ambao waliusimamisha msafara wake na kumpa
ujumbe wa kero yao ya kutokuwa na barabara na zahanati.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wakazi wa
kijiji cha Mnyagala wilayani Mpanda na kuwapa majibu namna ambavyo kero
zao zitaisha kwa utaratibu ambao Serikali,Mbunge na wananchi hao
watashirikiana kumaliza hizo kero kwa makubaliano na uataratibu
uliowekwa baina ya Vijiji na serikali mkoani Katavi.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasikiliza wananchi wa kijiji
cha Ikaka kata ya Nyagungu ambao walikuwa wanaomba kujengewa shule
karibu kwani sule iliyopo ipo mbali na makazi yao.




Post a Comment