Tukio hilo ambalo inasemekana lilitokea moja kati ya Bar zilizopo
Ilala usiku wa sikukuu ya Pasaka taarifa zilizopo toka usiku wa Pasaka
mpaka sasa hivi Chidi Benz yupo chini ya Jeshi la Polisi kituo cha
polisi Pangani Ilala kwa madai ya Shambulio na kumuumiza vibaya Aisha
Sued.
Loading...
Home » Unlabelled » CHID BENZ ADAIWA KUMSHUSHIA KIPIGO MPENZI WAKE WA ZAMANI, ASHONWA NYUZI 18...!!!!!
Post a Comment