Marehemu Seleman Kapalu.
Diwani
Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Igalula wilayani Uyui mkoa wa
Tabora, Seleman Kapalu amefariki dunia kwa maradhi ya kifua.
Taratibu za Mazishi zinaendelea. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
on Wednesday, April 30, 2014
Post a Comment