
Katibu
Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Afani Othman Maalim,akisoma maelezo
ya mpango kazi wa Wizara hiyo katika kikao cha Utekelezaji kwa
kipindi cha robo tatu kutoka Julai-Machi
2013/2014 katika ukumbi wa Ikulu mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani) (kulia) Naibu Katibu Mkuu Dk.Ramadhan Asedi.
Katibu
Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Afani Othman Maalim,akionesha kitabu
cha jaduweli katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Wizara hiyo
kwa kipindi cha robi mwaka kutoka Julai hadi Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Post a Comment