Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais
wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein wakikata keki
katika sherehe ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
ulioasisiwa na Mwalimu J.K.Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume Aprili 26
mwaka 1964 hafla hiyo iilifanyika jana kwenye viwanja vya Ikulu na
kuhudhuriwa na Makamu wa Rais Dr. Gharib Bilal, Makamu wa Pili wa Rais
Zanzibar Seif Ali Idd, Waziri Mkuu Tanzania Mh. Mizengo Pinda na
viongozi mbalimbali wa serikali taasisi za dini na vyma vya siasa,
Kushoto ni Mke wa Rais mama Salma Kikwete na kushoto ni Mkewa Rais wa
Zanzibar Mama Mwanamwema Shein(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR
ES SALAAM) Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais
wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein wakiwalisha keki
wake zao katika hafla hiyo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza
kifaa maalum cha kufyatua mafataki wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka
50 ya uhuru wa Tanzania.Mafataki yakilipuka katika viwanja vya ikulu ikiwa ni moja ya burudani katika sherehe hizo.Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Mh. Januari Makamba akiwa katika picha ya pamoja na Msanii MwanaFA aka Binamu.Wazee wa Politiko Lifo Chipaka na Fahmi Dovutwa kulia wakifurahia Muungano.Wasanii mbalimbali walikuwepo katika hafla hiyo.Wadau kutoka Lugumi Enterprises walihudhuria katika hafla hiyo.Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jembe Jesca Msambatavangu kushoto na Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi Miraji Mtaturu wakiwa katika hafla hiyo.Mama Arafa Ridhiwani akiwa na ndugu zake katika hafla hiyo.Mke
wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda katikati akiwa katika picha ya pamoja na
Mama Arafa Ridhiwani Kikwete kulia pamoja na ndugu zake.Wadau wa Fullshangwe wakakaa mble ya Kamera.gRais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais
wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein kulia, Dr. Gharib
Bilal Makamu wa Rais wa pili kutoka kulia ni Balozi Seif Ali Idd Makamu
wa pili wa Rais Zanzibar wakiongoza watanzannia katika hafla hiyo.Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
akimkabidhi cheti Kijana Calvin Nyoni Mshindi wa Musiki wa kizazi kipya
kwa ajili ya sherehe za Muungano wa TanzaniaKikundi cha muziki kikiburudisha katika hafla hiyo kwenye viwanja vya Ikulu.Babu Tale Meneja wa Diamond kushoto nia Mkubwa Fella kiongozi wa kundi la TMK Family walikuwepo pia.Kulia ni Mzee Nyantori kutoka Idara ya Habari Maelezo kulia, Mdau Cliford Tandali katikati na Nyakia kutoka CCM Makao makuu. Waziri
wa Habari, Maendeleo ya Vijana Utamaduni na Michezo Dr. Fennela
Mukangara akizungumza na Mhariri Mtendaji wa TSN Bw, Gabriel Nderumaki
na mdau Mabhare Matinyi katikati.Wadau wa Fullshangwe kutoka Zanzibar.Wake wa viongozi katika picha ya pamoja.Wadau wa Fullshangwe Mamaa Farida kushoto na Matrina wakipozi mbele ya Keki.Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
akifurahia wakati kundi la muziki wa Taarabu kutoka Zanzibar lilipokuwa
likitumbuiza jukwaani.Wadau Esther Zelamula na mume wake kulia ni Frola Wingia wa Nipashe walikuwepo pia.Mdau David Robert na mke wake Alice pia walikuwepo katika hafla hiyo.Kikundi cha ngoma kikitumuiza jukwaaniMwenyekiti
wa CCM mkoa wa Geita Bw. Joseph Msukuma wa kwanza kulia na Mwenyekiti
wa UVCCM mkoa wa Simiyu Bw. Njalu Silanga wa pili kutoka kulia pamoja na
wadau wengine wamehudhuria pia katika hafla hiyo.Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
-
Alfajiri11 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment