Hapa
ni eneo la daraja ambalo halina kingo za pembeni Barabara ya Chamazi
Mbagala, jambo ambalo ni hatari kwa maredeva na watumiaji wa njia hiyo,
kwani eneo hilo ni mteremko na kona.
Hili
ni daraja la Kigogo Dampo ambalo nalo linaelekea kukatika na
kutenganisha Kigogo na Tabata. Kutokana na daraja hilo kuashiria
kukatika kumekuwepo na foleni kubwa eneo hilo kutokana na magari
kulazimika kupita moja moja. Wahusika tembeleenimaeneo haya.
CREDIT: MAFOTOB WE
Post a Comment