Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Hii ndio Mpya Kutoka Kwa Magufuli ........ Azui Kutoa Likizo kwa Watumishi wa Wizara yake hadi Madaraja Yajengwe

Waziri wa Ujenzi Dr. John Magufuli amezuia likizo zote kwa watumishi wa Wizara ya Ujenzi na TANROADS, ili kushughulikia ukarabati wa madaraja makubwa zaidi ya 5 ya kuunganisha mikoa, ambayo yamebomolewa na mvua zinazoendelea kunyesha.
 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top