Sijui unaweza ukaitafsiri vipi hii
lakini katika tafsiri ya kawaida utabaini kuwa viongozi wa afrika
hawataki kutoka kwenye uongozi ukweli ni kwamba kuna mkwanja mrefu huko
cheki hii
Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan
ametoa zawadi ya shukrani ya simu aina ya iPhone kwa kila mgeni mwalikwa
aliyeudhulia sherehe ya ndoa ya mwanae wa kike wa kwanza,Faith
iliyofanyika Abuja Ecumenical Centre leo.
Ukiachana na mzee Goodluck kutapika simu hizo zenye gharama kwa wageni, pia ndoa hiyo ilikuwa ikirushwa moja kwa moja na kituo cha runinga cha NTA.
Kama ambavyo zilikuwa zimeandikwa
kwenye bos simu hizi wengine ilikuwa ni ndoto kwao kumiliki simu hii
lakini bahati imekuwa kwao wamejipatia zawadi hii mhimu simu ambayo kila
mtu anatamani kuimiliki
Simu yenyewe ndio hii hapa kiukweli kama una bahati mbaya hubahatiki kabisa





Post a Comment