Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JESHI LA POLISI LACHAFUKA..ASKARI WAKE AIBA MTOTO MCHANGA

Jeshi la polisi Mbeya limemkamata  Askari polisi mwanamke wa Dar es salaam kwa tuhuma za kumuiba mtoto  mchanga wa siku ambae aliibwa toka April 6 2014 kwa kushirikiana na baba mzazi.
Ahmed Msangi ambae ni kamanda wa polisi Mbeya amesema ‘tulimkamata huyu Mama na mtoto na hivi sasa Mwanamke huyu yuko mahabusu pamoja na baba mtu, tulichofanya niliagiza OCD wa Kyela amlete mama halisi wa mtoto ili aungane na mwanae na vilevile kukamilisha upelelezi, Mwanamke huyu anaitwa Prisca askari Polisi Tabata mwenye namba WP5367′ SOMA ZAIDI
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top