Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mama mzazi wa Waziri
Mkuu Mizengo Pinda, Bibi, Zenita Mkaawima, alipotembelea nyumbani kwa
Wazazi wa waziri Mkuu huyo, Kijiji cha Kibaoni, wilayani Mlele mkoani
Katavi, jana
Mdogo
wa Waziri Mkuu Mizengo Pinga, Wofgaga Pinda, akimkaribisha Katibu Mkuu
wa CCM Abdulrahman Kinana, alipowasili nyumbani kwa wazazi wa Waziri
Mkuu, katika kijiji cha Kibaoni, mkoani Katavi.
Kinana
akiwa katika mazungumzo na Mama wa Waziri Mkuu, na mdogo wa waziri huyo
mkuu, leo. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
Kinana
na Nape na Balozi Ali Karume (wapili kulia) wakiwa katika picha ya
pamoja na mama mzazi wa Waziri Mkuu, wakiwa katika picha ya pamoja
nyumbani kwa Mama huyo, Kibaoni mkoani Katavi.
Kinana akiagana na mama wa waziri
Nape
akimfurahia mtoto aliyemtania kwa jina la Pinda, yeye na Kinana
walipotembelea nyumbani kwa wazazi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo
Kinana akikagua tanki la mradi wa maji wa Kijiji cha Kibaoni mkoani Katavi
Kinana akiwatuza wasanii waliotumbuiza baada ya kuwasili katika kijiji cha Kibaoni mkoani Katavi
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua mashine ya kukoboa mpunga katika Kata ya Majimoto, mkoani Katavi
Nape akishiriki ujenzi wa shule ya msingi Majimoto
Kinana akishirikiana na wananchi wengine kusogeza matofali kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi Majimoto mkoani Katavi
Katibu Mkuu wa CCM Abdulahman Kinana akibeba zege wakati akishiriki ujenzi wa shule ya Majimoto wilayani Mpanda mkoa wa Katavi.
Picha zote na Bashir Nkoromo
Post a Comment