Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LE MAJANGAZ YA SUPER STAR IRENE UWOYA SOMA HAPA LIVE!!


Siku kadhaa zilizopita kuliwahi kulipotiwa na kuonesha picha Irene Uwoya akimtomasa sehemu nyeti Msanii mwenzake wa maigizo Haji Adam na kuzua mambo mengi hasa katika mitandao ya kijamii, lakini haikuishia hapowawili hawa wamekuwa wakionekana pamoja mara kwa mara tena nyakati za usiku na pozi zao zinaonyesha ishara ya mahaba,

ndipo swahilitz iliamua kumtafuta Haji Adam lakini hatukuweza kumpata vilevile ilitokea kwa irene uwoya kwani namba yake ilikuwa haipatikani ndipo tulibahatikakupata mawasiliano ya rafiki wa karibu na Irene ndipo akafunbguka "Mbona hao wapenzi kitambo sema nyiye mmechelewa kufahamu ukweli tu" alimaliza rafiki huyo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top