Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa akiwa katika ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la KKKT la Azania Front Dar es Salaam.
Muumini
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Usharika wa Azania
Front, Moses Kombe, (katikati) na wenzake wakiigiza igizo la kumbukumbu
ya Kuwambwa Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita wakati wa ibada ya Ijumaa
Kuu iliyofanyika katika kanisa hilo Dar es Salaam jana.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM
Post a Comment