Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWANDISHI WA HABARI "THOMAS LIPUKA KOMBA"APUMZISHWA KWA AMANI KIJIJINI KWAO MKILI WILAYANI NYASA


Baadhi ya Waandishi wa habari wakiwa mbele ya sanduku Marehemu Lipuka komba
Baadhi ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Ruvuma wakishusha sanduku kaburini
Katibu mtendaji wa Ruvuma Press akichukuwa matukio
Mjane wa marehemu Christina Haule akiweka shada la maua

Mwandishi wa habari Thomas Lipuka Komba amezikwa kijijini kwake Mkili wilayani Nyasa Juzi. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu hali iliyosababisha kifo cha ghafla. Marehemu Thomas Lipuka Komba ni miongoni mwa waanzilishi wa chama cha waandishi wa habari Ruvuma RPC mwaka 1995 alikuwa mwanachama mwaminifu  hadi kifo chake.


Tunawashukuru wale wote walotuombea tusafiri salama tunapenda kuwajulisha kwamba tumeludi salama.Picha na Mpenda Mvula
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top