Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

PAPAA MISIFA ALAZWA POLISI KWA UTAPELI, KUMBE JAMAA HUWATAPELI WASANII NA KUSEPA! SOMA HAPA




MSANII wa kizazi kipya nchini Tanzania Jailun ally A.k.A Jailun boy de loved,anatarajia kumfikisha mahakamani aliyekua manager wake Msafiri Peter Damian, Jailun ambaye alimkabidhi Papaa misifa kiasi cha pesa shiling Milion 2 kwajili ya promo ya kazi yake mpya aliyefanya na Alikiba (Naumia Roho), lakin boss uyo hakuna chchote alichokifanya zaid ya kubomoa pesa za dogo,mnamo mwezi wa 3 jailun tar 20 Jailun alimkamata papaa misifa na kumlaza sero siku moja katika kituo cha police staki shari ukongo Jijini Dar Es Salaam
,baada ya kutoka kwa mdhamana ndio dogo akaamua kwenda kumshitaki mahakamani kwa utapeli wa manager fake uyo,Jailun akizungumza,

 
Unajua jamaa yule sikujua kama ni tapeli kiasi kile alinikuta nafanya show snowie hotel bomang'ombe akanikubali sana na akaomba kwa my brother NGEREZA kunichukua ili anitoe,lakini cha ajabu nilikaa muda sana bila kuona msaada wake wowote, baadae akasema mimi na Ngereza tuchange tutoe milion 3" kwajili ya kazi zangu,eti na yeye atachangia milion 3 iwe sita,kumbe yule jamaa tapeli sana sijawahi ona asee,ndipo tulipo mpa hakuna alilofanya zaidi ya kutoa shiling 20000 kwa kila dj na kazi yangu haikufanya poa ndipo nikaanza kuhangaika mwenyewe,kiukweli namchukia sana yule mtu ni adui no moja katika mafanikio yangu,

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top