Maandalizi
ya maziko ya Mwanamuziki Mkongwe Muhidin Gurumo aliefariki saa nane
mchana kwenye hospitali ya taifa Muhimbili bado yanafanywa ambapo
millardayo.com imefika nyumbani kwa marehemu usiku huu na kuongea na
mtoto wa kwanza wa marehemu Abdallah Muhidin Gurumo.
Abdallah
amesema mpaka sasa kama familia imeamua maziko yafanyike Jumanne April
15 2014 saa nne asubuhi kwenye kijiji cha Masaki wilaya ya Kisarawe Mkoa
wa Pwani.













Post a Comment