Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria,katika
kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi Machi
2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi
ya Viongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha
utekelezaji wa mpamgo wa kazi kwa kipindi cha robo mwaka kutoka Julai
-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana
jioni, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria,katika
kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi Machi
2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Loading...
Post a Comment