

Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Mapinduzi Ndugu
Ridhiwani Kikwete kushoto akimkabidhi bendera Bw Iddi Mjema aliyekuwa
mwenyekiti wa CCM kata ya Msata baada ya kuru disha kadi ya CUF na
kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM leo wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye kijiji cha Pongwe Msungula kata ya Msata leo,
katikati ni Meneja kampeni na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Bw.
Kazidi, Uchaguzi wa jimbo la Chalinze unatarajiwa kufanyika Aprili 6
Jumapili mwaka huu.

Sam wa Uweli akiimba na wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kijiji cha Mkoko. 

Mmoja wa wananchi akiwa amejikinga jua na picha ya mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete. 

Mgombea
ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete
akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkoko katika mkutano wa kampeni
uliofanyika kijijini hapo.. 

Wananchi wakiwa wamejikinga jua na picha ya mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete.
Mwanamuziki Hafsa Kazinja akiimba na wananchi katika mkutano wa kampeni katika kijiji cha Madesa. 


Mgombea
ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete
akicheza na akina mama katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye
kijiji cha Madesa kata ya Msata.

Umati wa wananchi waliojitokeza katika mkutano wa kampeni kwenye kijiji cha Kihangaiko. 

Nape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi CCM akicheza pamoja na
Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete
wakati akimnadi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Lugoba leo. 

Mgombea
ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete akiteta
jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana mkoa wa Simiyu Bw. Njalu Silanga
wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Lugoba. 

Mbunge
wa Shinanga mjini na Naibu Waziri wa Madini Mh. Steven Masele
akimuombea kura Bw. Ridhiwani Kikwete katika mkutano wa kampeni
uliofanyika Lugoba leo. 

Wananchi
wakinyoosha mikono yao juu kama ishara ya kumkubali mgombea ubunge wa
jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete. 

Mgombea
ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM ndugu Ridhiwani Kikwete
akiangalia bendera ya Chama cha kampeni wa CUF iliyokabidhiwa na
aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Kata ya Msata mara baada ya kujiunga
na CCM katika kijiji cha Pongwe Msungula kwenye mkutano wa chama cha
Mapinduzi.
.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHALINZE)
Post a Comment