Karne hii watu maarufu
wamekuwa wakijiweka wazi kukiri kujiunga katika jumuiya ya watu
wanaomwabudu shetani "Freemason" kama Jay z, Kanye West, Drake, Lady Gaga na wengine kibao kwa minajili ya kujipatia utajiri na umaarufu na ndipo hata siri zao zimekuwa
zikivuja siku hadi siku. Mingoni mwa siri zao hizo ni nembo ambazo zimekuwa zikiwawakilisha zikiwa na maana ya kumpinga Mungu na kumpa sifa shetani.
zikivuja siku hadi siku. Mingoni mwa siri zao hizo ni nembo ambazo zimekuwa zikiwawakilisha zikiwa na maana ya kumpinga Mungu na kumpa sifa shetani.
Msalaba uliogezwa
""Inverted Cross" ni moja kati ya nembo hizo ukiwa na maana ya kwenda
kinyume na ukristu unaomtukuza Mungu. Juma Jux katika video yake mpya ya
Nitasubiri anaeyoendelea kushoot huko China ameonekana akiwa ametupia
vazi lenye msalaba uliogeuzwa.
Juhudi zinaendelea kupata mawasiliano nae ili kujua ukweli
wa jambo hili kama anajua chochote kuhusu hili au yeye kwake hizo ni swagz tu.
wa jambo hili kama anajua chochote kuhusu hili au yeye kwake hizo ni swagz tu.
Post a Comment