Mtoa
mada Catherine Gembe akielezea kuhusu Mchakato wa Mawasiliano wakati
alipokua akitoa mada ya Uongozi katika Mkakati wa Mawasiliano ya Afya
(Leadership in Strategic Health Communication).Katika mafunzo ya wiki
mbili yanayojumuisha wadau toka sekta mbalimbali mjini Iringa leo.
Washiriki
wa Mafunzo ya wiki mbili wakifuatilia kwa makini mada toka kwa
mwamasishaji(hayuko pichana),kuhusu Uongozi katika Mkakati wa
Mawasiliano ya Afya, yanayofadhiliwa na Serikali ya Marekani kupitia
mradi wa Tanzania Capacity and Communication Project (TCCP),mjini
Iringa leo
Post a Comment