Katika
kitu kikubwa ilichokifanya na Selikali ya awamu ya nne inayoongozwa na
Jakaya Mrisho Kikwete ni kujenga na kuboresha miundombinu hususan
barabara nchini. Na
hii ni mmoja kati ya mifano mingi ya miradi inayoendelea hapa
nchini,tunategemea baada ya miaka kumi ijayo nchi yetu itakuwa na
barabara za rami mpaka vijijini. (PICHA NA AWADH IBRAHIM).
Post a Comment