Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Shilole ajisifu kuwapiga vibuti wanaume......"katika uhusiano wa kimapenzi sijawahi kuachwa bali huwa naacha mwenyewe"




STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa katika uhusiano wa kimapenzi hajawahi kuachwa bali huwa anaacha mwenyewe.
Akistorisha na mwanahabari wetu, Shilole alisema tangu aanze kuwa na uhusiano, amekuwa bingwa wa kupiga ‘vibuti’ wanaume ambao hawaeleweki.

“Ukweli sijui nina nini ila naamini Mungu amenipa kitu cha pekee kwa sababu naweza kumuacha mwanaume kwa kumtukana lakini akataka kurudi, sijawahi kuachwa,” alisema Shilole.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top