Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SUPER STAR IRENE UWOYA SASA NI VITA NA FLORA MVUNGI ONA SABABU HAPA LA BIFU JIPYA LIVE!!

 

Uwoya amchana live mpenzi wa Flora Mvungi i.e H-baba kwamba hafai katika mapenzi kwa sababu hana stamina katika uwanja wa 6 kwa 6. Flora Mvunginaye akaja juu na kudai kwamba maneno ya Uwoya ni maneno ya mkosaji na akadai zaidi kwamba H-baba hana tatizo katika mapenzi na yuko fiti ile mbaya.


Wakati malumbano yakiendelea,dada mmoja akapiga simu clouds fm,akakataa kutaja jina lake lakini naye akazidi kuchagiza kwamba H-babasi lolote si chochote katika ulingo wa ma-lovey dovey,ana mbwembwe za kukata viuno jukwaani tu.Haya ndio mapenzi ya ma-star wa ki-bongo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top