Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Taarifa Kamili Kuhusu Kifo cha Mzee Gurumo Pamoja Na Ratiba ya Mazishi

 


Watoto wa marehemu wakiwa katika majonzi na huzuni baada ya kumpoteza baba yao ambaye amafariki dunia tarehe 13 april katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kusumbuliwa na matatizo ya moyo kwa kipindi kirefu.
Pia mdogo wa marehemu Ramadhani Mwishehe na Mtoto Mwalim Muhidin Gurumo walizungumza na sammisago,com wakielezea juu ya kifo cha
Muhidin Gurumo maarufu kama Mzee Gurumo na mazishi yatakapofanyika Kisarawe Masaki
“Baba yetu aliugua kwa muda mrefu sana anaugua anapata nafuu anaugua anapata nafuu siku ya mwisho jana saa kumi na moja alfajiri alizidiwa pumzi ilikuwa zimembana tukampeleka Hospitali Muhimbili pale, leo hii saa nane mchana ndiyo anaaga dunia na prosesi za mazishi zitakuwa kesho saa tano asubuhi na atazikwa Masaki uzaramuni” Mtoto wa Marehemu Mwalim Mwidin Ngurumo.

Mdogo na Mtoto wa Marehemu walizungumza haya:
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top