|
Baadhi
ya askari Polisi wakiutoa mwili wa askari Polisi kwenye Wodi namba
moja aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi huko katika Tarafa ya
Ussoke wilayani Urambo askari huyo aliyefahamika kwa namba F.5179 PC
JUMANNE,walipigwa risasi wakiwa na askari mwenzake ambaye pia alifariki
papo hapo namba G.3388 PC SHABAN. |
|
Kamanda
wa Polisi mkoa wa Tabora ACP SUZAN KAGANDA akizungumza na waandishi wa
habari kuhusu tukio la mauaji ya askari Polisi wawili ambao waliuawa
wakati wakijitayarisha kukabiliana na Majambazi watatu waliovamia
nyumbani kwa mfanyabiashara aliyefahamika kwa jina la IBRAHIMU MOHAMED
mkazi wa Ussoke ambapo walipora zaidi ya shilingi milioni moja na laki
mbili pamoja na vocha za simu zenye thamani ya shilingi laki moja na
ishirini elfu.Kamanda SUZAN alisema majambazi hayo yalikuwa yakitumia
bunduki aina ya SMG. |
on Wednesday, April 30, 2014
Post a Comment