Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UFUNGUZI WA MAONYESHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO

_DSC0370

_DSC0325
Mgeni Rasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Seif Sharif Hamad akitoa hutuba ya ufunguzi wa maonyesho hayo katika viwanja vya Mnazi mmoja  jijini Dar es Salaam.

_DSC0292Kikundi cha ngoma toka Jeshi la Kujenga Taifa kikitumbuiza kwenye uzinduzi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano katika viwanja vya Mnazi mmoja 
 _DSC0335Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Mohamed Abood akiongea wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano  katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar Es SaLAAM_DSC0370chungu na kibuyu vilivyotumika na waasisi wa Muungano kuchanganya udongo mwaka 1964, vinapatikana katika banda la Ofisi ya Makamu wa Rais._DSC0374Mgeni Rasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Seif Sharif Hamad akipata maelekezo toka kwa Afisa wa Muungano Cecilia Nkwamu alivyotemebelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika viwanaj vya mnazi mmoja_DSC0385Mgeni Rasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Seif Sharif Hamad akiwa ndani ya Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais akipata maelekezo juu ya  chungu na vibuyu vilivyotumika kuchanganya udongo wakati wa Muungano wa Tanganyika na Zanziabr mwaka 1964_DSC0390Wananchi mbalimbali waliojitokeza kutemebelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais wakiangalia majarida mbalimbali bandani hapo na kusaini kitabu cha wageni.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top