Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais
katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya mwaka
Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo
asubuhi.]Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Baadhi
ya maafisa wa idara mbali mbali zaOfisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais
wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya mwaka
Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo
asubuhi,mwenyekiti wake akiwa ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.]Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]



Post a Comment