Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WATOTO 17 WAZALIWA MKESHA WA PASAKA MKOANI IRINGA

                                  


MTOTO_8_cfe05.jpg
Wakati wakristo duniani kote wakisherehekea Pasaka,watoto 17 wamezaliwa katika mkesha wa Pasaka Hospitali ya Rufa mkoani Iringa wakiwemo wa wakiume 11 na wa kike sita (6). Kwa mjibu wa Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Rufa Mkoa wa Iringa, Dkt. Deogratius Manyama amesema kuwa watoto kumi na moja wamezaliwa kwa njia ya kawaida na watoto sita wamezaliwa kwa njia opresheni. Ameongeza kuwa hali za watoto na mama zao zinaendelea vizuri (FRIDAY SIMBAYA)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top