Pagumu:
Mshambuliaji wa Chelsea, Eden Hazard akichezewa faulo na beki wa
Norwich kwenye eneo la hatari, lakini refa akasema aliotea kabla katika
mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Timu hizo zilitoka 0-0. Chelsea
inafikisha pointi 79 katika mechi 37, na kubaki nafasi ya tatu nyuma ya
Manchester City pointi 80 sawa na Liverpool walio kileleni kwa wastani
wa mabao, baada ya timu zote kucheza mechi 36.
Loading...
Post a Comment