Miongoni
mwa stori za town nilizozipata ni hii ya Mamba kuuwawa Block 41
Kinondoni Dar es salaam mtaa ambao wanaishi watu kadhaa maarufu wa
Tanzania akiwemo Kalapina wa kikosi cha Mizinga.
Mtu wa nguvu Rama amepost picha ya mamba huyu mdogo aliyeuwawa kwa
risasi nne kwa kuandika #block41 #Adventure #matown #townJungle
Haijajulikana huyu mamba ametokea wapi na ilikuaje
Post a Comment