Mkali
toka Tanzania ambaye yupo kwenye list ya Wanamuziki wanaofanya vizuri
kwenye muziki wa Rnb,Watanzania wengi tulimtambua Steve Rnb baada ya
kushirikishwa na Mr. Blue kwenye wimbo wa Tabasamu,huu ni wimbo wake
mwingine mpya unaitwa She dance,usikilize halafu unaweza andika
ulichokisikia juu ya wimbo huu ili baadae nae akipita asome.
Bonyeza play kusikiliza.
Bonyeza play kusikiliza.
Post a Comment