Mapacha hawa wanaitwa Abby na Brittany wamezaliwa mwaka 7/3/1990 nchini MAREKANI.
Mapacha
hawa wameungana mwili na kuwa mwili mmoja wenye vichwa viwili, lakina
chakushangaza zaidi kila mmoja anamfumo wake wa kupumua na moyo wake na
maini yake,
Vitu wanavyo changia ni mwili mmoja ikiwemo miguu miwili na mikono miwili.
Post a Comment