Mtoto AMISA MALEBHI(miaka 2 na miezi
sita)ambaye ana matatizo ya jicho la kushoto anahitaji msaada wa
kupelekwa hospitali ya KCMC Moshi kwa ajili ya matibabu kwa atakayeguswa
anaweza kuwasiliana na mama yake mzazi TAUSI HAMISI mkazi wa Ufuluma
wilaya ya Uyui mkoani Tabora....Mtoto huyu imeelezwa kuwa endapo
atacheleweshwa kupatiwa msaada anaweza kupata Saratani ya Jicho,...KWA
HALI NA MALI FANIKISHA MATIBABU YA MTOTO HUYU AMBAYE ANAHITAJI FURAHA
KAMA WALIVYO WATOTO WENGINE.
Mama wa mtoto huyo Bi.TAUSI HAMISI
akiwa barabarani katika kutafuta msaada wa matibabu ya mtoto wake huku
baba wa mtoto huyo AMISA alifariki dunia miezi michache iliyopita baada
ya kupata ajali ya pikipiki.Bofya hapa >>>
Post a Comment