Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KAMA ULIITWA KWENYE INTERVIEW UWANJA WA TAIFA HII INAKUHUSU .... SOMA HAPA

Je,ni sahihi kweli kwa msomi wa diploma,digrii au masters kupigania ajira isiyo na uhakika?je wewe na mimi tunaweza kufanya mangapi na kufanikiwa bila kuajiriwa?mfano leo ukakosa kuendelea na usaili wa pili ktk hatua inayofuata,je unategemea kuendelea  kukimbizana na bahasha mpaka lini?hayo ni majibu yanayotuumiza kichwa sana kwani kadiri siku zinavyoenda tunaongezeka wahitimu mtaana,na ajira zinapungua..jiulize sisi tuliobahatkia kufanya huu usaili yaani tulliitwa zaidi ya 10,000 na ajira zipo 70,ni asilimia ngapi ya watanzania?na tulioitwa chuo cha mwalimu nyerere ni asilimia ngapi pia ya watanzania wasomi?Sisi tumeamua kutafuta ajira mpya isiyo na bugudha wala vurugu,njoo Holliday Inn jumanne saa sita kamili mchana tuzungumze pamoja,hakuna kiingilio..Tupigie 0784778788 tukueleze..Kwa pamoja tutashinda
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top