Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Kombe la Dunia: Uruguay yakalia kuti la Moto....Yachapwa 3-1 na Costa Rica, Suarez akalia benchi mwanzo mwisho

  • Edinson Cavan aliifungia Uruguay bao la kuongoza kwa njia ya mkwaju wa penati.
  • Joel Campbell, Oscar Duarte na Marcos Urena waliifungia Costa Rica mabao yaliyowapa ushindi wa 3-1
  • Luis Suarez alikaa benchi, lakini hakutumika katika mchezo wa wa usiku huu.
  • - See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2114#sthash.PwSsNkBz.dpuf

    KIKOSI cha Uruguay kimelala kwa bao 3-1 dhidi ya Costa Rica katika mechi ya kundi D kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2014 zinazoendelea nchini Brazil.

    Katika mechi hiyo, mshambuliaji mahiri wa Uruguay na Liverpool Luis Suarez alianzia benchi na kumalizia mechi benchi yaani hakucheza kabisa licha ya kuwepo kwenye orodha ya wachezaji wa akiba, na hii inatokana na kushindwa kuimarika ipasavyo kutoka kwenye majeruhi ya goti alilofanyiwa upasuaji.
    Wafungaji wa Costa Rica waliopeleka maumivu Uruguay ni Joel Campbell, Oscar Duarte na Marcos Urena. Uruguay walipata bao lao kwa mkwaju wa penalti kupitia kwa Edinson Cavani.
    Download Our App

    Post a Comment

    CodeNirvana

    BLOG RAFIKI

    © Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
    Back To Top