Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LIONEL MESSI AIPAISHA ARGENTINA IKISHINDA 2-1 DHIDI YA BOSNIA KOMBE LA DUNIA

 

In with a shout: Lionel Messi roars with delight after scoring Argentina's second goal

 Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Argentina bao la pili. 
LIONEL Messi ameifungia Aregentina bao katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Bosnia-Herzegovina.
 Beki wa Bosnia, Sead Kolasinac alijifunga bao dakika ya tatu, na katika dakika ya 65, Messi alifunga bao la pili na la ushindi.
Bao la kusawazisha la Bosnia limefungwa na  Vedad Ibisevic katika dakika ya 85.
Precise: Messi slides the ball in off the post to give Argentina a 2-0 lead
Kikosi cha Argentina (3-5-2): Romero 6; Campagnaro 5 (Gago 45, 7.5), F Fernandez 6.5, Garay 6.5; Zabaleta 6, Maxi Rodriguez 4 (Higuain 45, 7), Mascherano 6.5, Di Maria 7, Rojo 6.5; Messi 7, Aguero 6 (Biglia 86).  
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Orion, Perez, Higuain, Augusto Fernandez, Demichelis, Palacio, Alvarez, Lavezzi, Basanta, Andujar.
Kadi ya njano: Rojo.
Mfungaji wa Goli: Kolasinac (alijifunga) 3, Messi 65.
Kikosi cha Bosnia-Herzegovina: (4-2-3-1): Begovic 6; Mujdza 6 (Ibisevic 70, 5), Bicakcic 6, Spahic 6.5, Kolasinac 6; Besic 7, Hajrovic 6 (Visca 72, 5); Pjanic 7, Misimovic 6 (Medunjanin 74, 5), Lulic 6; Dzeko 6. Subs not used: Fejzic, Vrsajevic, Vranjes, Susic, Sunjic, Ibricic, Hadzic, Salihovic, Avdukic.
Kadi ya njano: Spahic.
Mfungaji wa Goli: Ibisevic 84.
Mwamuzi: Joel Aguilar (Slovakia).
Viwango vya wachezaji vimetolewa na MARTIN SAMUE kwenye uwanja wa Maracana History boy: Vedad Ibisevic scores Bosnia's first ever goal at a major tournament Vedad Ibisevic  akiifungia Bosnia bao la kwanza katika mashindano
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top