Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MDADA ALIYEMTESA KWA KUMNG'ATA MFANYAKAZI WAKE WA NDANI HUYU HAPA LIVE


Huyu ndio mrembo Amina Maige (kulia) maarufu Amina Kimeza na ndiye aliyemfanyia ukatili  wa ajabu msichana wake wa kazi ambae pia ni ndugu yake Yusta Lucas (kushoto)!!! Lazima ukae unakijua kwamba kila unachofanya mungu anaona na malipo ni hapahapa duniani! Hivi sasa huyu dada yupo segerea na jana amepata aibu ya mwaka mahakamani amezomewa sanaa. 
Yaani duniani hapa kuna watu na viatu sasa huyu dada Amina Maige  na uzuri wake wote huo kumbe ni shetani na ndo aliye mfanyia unyama na ukatili wa ajabu msichana wake wa kazi Yusta (kulia). Dah kweli za mwizi arobaini na iwe fundisho kwa wote maana kama huwezi kukaa na mtoto wa mtu mrudishe kwao kuliko kumfanyia unyama. 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top