Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WASTARA AFUNGUKA KUHUSU WASANII WALIOFARIKI NA LEADERS CLUB...!

 

 
 Mkali wa sinema za Kibongo, Wastara Juma.
ANA hoja? Mkali wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amepinga kitendo cha mastaa wa Bongo kuagwa Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar wanapokutwa na umauti.Akizungumza na gazeti namba moja la habari za mastaa na kijamii Bongo, Ijumaa Wikienda juzikati, Wastara alieleza kwa huzuni kubwa kuwa hafurahii eneo la Leaders kutumika kuagia kwa sababu ni eneo hilohilo ambalo hutumiwa kwa starehe.
“Ukweli kwa upande wangu napinga mastaa kuagwa Leaders kwa sababu Leaders mara nyingi hutumika kama sehemu ya anasa. “Ningeiomba serikali itutafutie sehemu maalum kwa ajili ya kufanyia shughuli zote za misiba ya watu maarufu,” alisema Wastara.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top