Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WEMA SEPETU ADAKA MIMBA YA DIAMOND PLUTNUMZ


'Beautiful  Onyinye'  na  kipenzi  cha  Diamond, Wema  Sepetu  sasa  ni  mjamzito. Baada  ya  misukosuko  ya  muda  mrefu  ikiwemo  kuporwa  na  wasichana  wenzake  penzi  lake  la  Diamond, sasa  Wema  amepata  kile  alichokuwa  akikililia  kwa  muda  mrefu....

Chanzo  cha  habari  hii  kutoka  kwa  marafiki  wa  Diamond  kimedai  kuwa  Wema  amenasa  ujauzito  na  kugundulika  hivyo  walipokuwa  Afrika  Kusini  kwenye   tuzo  za  MTV-MAMA na  kumfanya  Diamond  achanganyikiwe  kwa  furaha....

Kwa  mujibu  wa  chanzo  hicho, inadaiwa  kuwa  Diamond  kwa  sasa  kawa  kama  mtu  aliyepagawa  kwa  furaha  kutokana  na  taarifa  hizo  njema  na  tayari  ameshaanza  maandalizi  ya  kijacho  chake....

Kugundulika  kwa  ujauzito  wa  Wema  ni  baada  ya  kuanza  kujisikia  vibaya  walipokuwa  Afrika  Kusini  ikiwemo  kichefuchefu  na  kizunguzungu  alipokuwa  hotelini  alipofikia  na  kulazimika  kwenda  hospitali  kwa  uchunguzi  zaidi....

Inasemekana  kuwa  Wema  alisindikizwa  na  Aunt  Ezekiel  kwenda  hospitalini  waliyekuwa  naye  huko  Afrika  Kusini  kumpa  sapoti  Diamond  na  madaktari  ndiyo  waliomjuza  kuwa  anakiumbe  tumboni  cha  wiki 7...
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top