Wafanyakazi wa kampuni ya Majembe
Auction Mart wakifungua mashine ya kutengenezea matofali katika eneo la Kwa
Msuguri, Kimara jijini Dar es Salaam.Wizara ya Maji iliamrisha kukamatwa kwa vifaa na mali mbalimbali za
Martin Kessy aliyekuwa amejiunganishia maji kinyume na sheria na kufanya
biashara ya kufyatua matofali. Zoezi
hilo linaendelea. Zoezi hilo limefanyika jana katika eneo la Kwa Msuguri, Kimara jijini Dar es Salaam jana.
.
.
Mwenyekiti wa kamati maalum ya Wizara
ya Maji, Eng. Hamis Blangson (kulia) akisikiliza jambo wakati
wa operesheni maalum ya kupambana na watu wanaojiunganishia maji kinyume na sheria na kusababisha hasara kwa serikali na matatizo ya huduma hiyo kwa wananchi. Wengine ni wajumbe wa kamati hiyo, Bw. Twaha Mohamed (kushoto) na Bw. Juma Maingu (katikati). Zoezi hilo linaendelea

Kifaa cha kubebea vifaa vizito cha
DAWASA kikiondoka na moja ya mashine ya kutengenezea kutengenezea matofali
katika eneo la Kwa Msuguri, Kimara jijini Dar es Salaam.
Post a Comment