Rais
Jakaya Kikwete akielekea ofisini kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni
mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Maonyesho ya 38 ya Biashara
ya Kimataifa TANTRADE leo, katikati ni Dr. Abdallah Kigoda Waziri wa
Viwanda na Biashara na kulia ni Mkurugenzi wa Biashara ya Nje TANTRADE
Bi. Anna Bulondo
Rais Jakaya Kikwete akiangalia majiko ya mkaa katika moja ya mabanda ya Kenya
Rais Jakaya Kikwete akiangalia majiko ya mkaa katika moja ya mabanda ya Kenya
Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza Ofisa Mauzo Mwaandamizi wa kampuni ya Gold Finger Investiment Bi.Beatrice Kibanya wakati alipoteaembelea banda hilo.
Rais Jakaya Kikwete akipiga picha na baadhi ya vijana kwenye banda lao la Forever Living
Rais Jakaya Kikwete akipiga picha na baadhi ya vijana kwenye banda lao la Forever Living Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza Bw.Babar Hussain wa kampuni ya kuteneneza viatu ya Zubair Shoes. Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza Bw. Edwin Wekefield wa kampuni ya Mimic Craftis kutoka nchini Afrika kusini inayojishughulisha na masuala ya mawasiliano. Mshauri
wa jeshi la Magereza Bw. Alferio akitoa maelezo kwa Rais jakaya Kikwete
kuhusu kofia bora za kujikinga waendesha pikipiki wakati alipotembelea
katika banda la Mafereza Rais
jakaya Kikwete akipiga picha na wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya nje
wakati alipotembelea katika banda hilo leo Mh. Rais Jakya Kikwete
aliwahi kushika wadhifa wa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa
Kimataifa. Rais
jakaya Kikwete akimsikiliza kwa makini Bi Hoyce Temu Mtaalamu wa
Mawasliano wa Umoja wa Mataifa (UN)wakati alipotembelea banda hilo leo
na kupata maelezo mbalimbali ya shughuli zinazofanywa na shirika hilo
hapa nchini. Rais
jakaya Kikwete akizungumza na vijana waliofadhiliwa na Umoja wa Mataifa
katika mafunzo ya ujasiriamali wa tatu kutoka kulia nji Bi Hoyce Temu
Mtaalamu wa Mawasiliano wa umoja wa Mataifa (UN)
Rais
jakaya Kikwete akimsalimia mtoto ambaye jina lake halikufahamika mara
moja wakati akitembelea katika mabanda mbalimbali kwenye viwanja vya
Sabasaba leo.
Post a Comment