Kamanda
wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitoa taarifa ya
tukio la kukutwa kwa viunga vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo
ya Bonde la Mbweni,Mpiji.
Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano huo wa Kamanda Kova.
Chini ni Taarifa Rasmi iliyotolewa leo.
Post a Comment