Ushindi:
Mchezaji wa zamani wa West Ham, Marco Borriello akishangilia baada ya
beki wa Liverpool Daniel Agger kujifunga na kuifanya timu take ilale 1-0
mbele ya AS Roma jana.
Francesco Totti (kulia) akiupitia mpira dhidi ya Lucas Leiva
Jordon Ibe akitafuta mbinu za kumpita Ashley Cole kulia
on Thursday, July 24, 2014
Post a Comment