Jioni ya jana majira ya saa kumi na
mbili jioni ndio mkutano wa hadhara umeishia hapa Mbeya mjini ambapo
kulikuwa na matukio makubwa ya vijana wa
CCM kutoha sehemu mbali mbali za nchi kumunga mkono mwenyekiti mwenzao
wa Mbeya ndugu Kajuna katika tukio la kufungua mashina,kusimika makamnda
na mkutano wa hadhara
vijana hao ambao walikuwa wameambatana na mjumbe wa NEC toka Mafya na
mkt wa UVCCM mkoa wa Pwani ndugu Muhamedi Nyundo,MNEC wa vijana kupitia
Zanzibar Bi Nadra,katibu wa idara ya utawala,uchumi na fedha UVCCM makao
makuu na mkt wa UVCCM wilaya ya mjini Zanznibar,COM Paul Makonda ambae
ni mjumbe wa bunge la katiba na katibu wa hamasa chipukizi makao makuu
pia msafara huo ulikuwa pia na mkt wa UVCCM mkoa wa mjini unguja ndugu
Kibwana,mkt wa UVCCM mkoa wa Morogoro Bi Harieti Sutta,mkt wa UVCCM mkoa
wa Dodoma ndugu Masunga,mkt wa UVCCM mkoa wa Katavi ndugu Calvin Mbogo
(mnyama) mkt wa UVCCM wilaya ya Rufiji ndugu Mtweve,mkt wa UVCCM mkoa
wa DSM ndugu Omar Matulanga,mjumbe wa baraza kuu UVCCM Taifa kupitia
mkoa wa Morogoro ndugu Asenga Abubakar,Mjumbe kupitia mkoa wa Tanga Bi
Husna Mbwambo na makada wengine ambao wameonyesha umoja wa hali ya juu
katika kukijenga chama chao na kuwa vijana wa mfano KWA VIJANA WENGINE
pamoja na yote, waliwahasa vijana wa Mbeya kutokurudia makosa,,,kwa
walioyapata yana watosha,,,akiongea kada mtiifu wa CCM Bi Juliana
Shonza alizitaja ahadi zote za mbunge Sugu ambazo hadi sasa hajatekeleza
hata moja,,,mfano mabwawa ya samaki kwa vijana,,,,
KADA Mtelea
Mwampamba aliongea historia ya CCM na CHADEMA,,,na kuwa hasa Wanambeya
daima wasijethubutu kurudia makosa na kuwa yeye alikuwa chadema na hana
wajua kuwa ni wababaishaji kwa maslahi yao na si maslahi ya umma..
Paul Makonda alizungumzia juu ya umuhimu wa serikali tatu,,na makosa ya
UKAWA kutoka nje akiwataka warudi bungeni kama kweli wao hawalipwi na
mawakala wao wa nje ya nchi ili wakae nje ya bunge.
mkt Kibwana
akiongea kuwakilisha vijana wa Zanznibar aliwaaambia wana Mbeya KUWA
;"muungano hudumu daima na kuwa ukiona Mzanzibar anapinga muungano huu
wa serikali mbili basi wajue huyo ni hamnazo na analake jambo"
|
Post a Comment