Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa maafisa
watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi kabla ya
Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi jana.Rais Kikwete
yupo katika ziara ya kikazi mkoani Tanga.(Picha na Freddy Maro).
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya
Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini
Songe Kilindi jana.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup
litashindaniwa katika ligi ya wilaya ambapo mshindi atakabidhiwa kombe
hilo na zawadi nyinginezo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi Mkoani Tanga jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya wananchi waliohudhuria
mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi mkoani Tanga.
Post a Comment