Beki wa Brazil David Luiz akimfariji Rodriguez baada ya mechi mjini Fortaleza
Rodriguez akikumbatiwa na kocha wake Jose Pekerman baada ya kupoteza mechi dhidi ya Brazil.
Nyota huyo wa Manoca aliifungia Colombia bao la kufutia machozi kwa mkwaju wa penati.
Post a Comment