Dokta Kamdege akiwa kazini na vifaa
vyake vilivyojaa miti shamba tayari kuwasaidia wananchi wenye shida ya
mafanikio pamoja na matatizo mengine.
Na Sakina Shabani
Mganga maarufu aliyejichukulia sifa
kibao nchini na nje ya nchi Dokta Kamdege ameibuka na kutaja sababu
kadhaa za mwanamuziki Diamond aliyekuwa akiiwakilisha inchi kwenye tuzo
za kimataifa za MTV na kuambulia patupu.
Post a Comment