Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ULINZI WATAKAOWEKEWA ZIDANE, FIGO, RONALDO ….WAKITUA DAR ‘WEKA MBALI NA WATOTO’


d8f4b35c644f0423a21a23076ac82592Na Baraka Mpenja, Dar es salaam
ULINZI na usalama watakaowekewa magwiji wa Real Madrid,  maarufu kama `Real Madrid Legends` mara watakapowasili jijini Dar es salaam, utakuwa wa hali ya juu na serikali imeahidi kufanikisha hilo kwa asilimia 100.

Nyota waliotikisa soka la dunia wakiwa na Real Madrid na kushinda mataji ya La Liga, UEFA na wengine kushinda kombe la dunia na nchi zao watatua nchini Agosti 22 na kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya kikosi maalumu cha nyota wa Tanzania, Agosti 23 uwanja wa Taifa.

Kwa mara ya kwanza barani Afrika Magwiji wa Real Madrid kama vile Luis Madeil Figo, Zinadine Zidane, Fabio Cannavaro, Ronaldo De Lima, Roberto Carlos, Michael Owen watazuru Tanzania na kujionea vivutio mbalimbali vya utalii.

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Saidy Mecky Sadick jana ofsini kwake maeneo ya Ilala jijini Dar,  alikutana na kamati ya maandalizi ya ziara hiyo inayoongozwa na mwenyekiti wake, Farough Baghozah na kuelezwa kila kitu.


Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogpsot.com
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top