Tazama baadhi ya picha za scene mabalimbali katika uchukuaji wa video ya wimbo unaotamba kwasasa, KIPI SIJASIKIA wa msanii mkongwe wa Bongo Flava, PROF JAY aliomshilikisa bwana ALMASI....Video ya wimbo huu inatarajiwa kuachiwa hivi karibuni
on Tuesday, July 22, 2014
Post a Comment