Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BINTI ABAKWA HADI KUFA BAADA YA KUDAI PINDA HAWEZI KUWA RAIS TANZANIA


Kati ya mambo makubwa leo katika mitandao ya kijamii hasa Facebook na Twitter ni taarifa ambazo mimi pia nimezipokea kwa mshangao na masikitiko makubwa, ni taarifa kuhusu mauaji ya mwanadada Bettie Ndejembi ambaye amefariki baada ya kubakwa hadi kupoteza fahamu.
Kabla ya kupoteza uhai wake Betty alikutana na manyanyaso makubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo alitukanwa matusi mazito ya nguoni. Inasemekana chanzo cha matusi hayo ni kauli ya marehemu kwamba alidaiwa kusema Pinda hawezi kuwa Rais.

Timu yetu ya Fichuo Tz inaendelea kulifuatilia suala hili kwa undani zaidi, endelea kutufatilia upate habari zaidi.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top